Ezekiel 26:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kwato za farasi wake, ataikanyaga mitaa yako yote. Atawaua watu wako kwa panga; minara yako mikubwa ataiangusha chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwato za farasi wake zitakanyaga barabara zako zote, atawaua watu wako kwa upanga na nguzo zako zilizo imara zitaanguka chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kwato za farasi zake atazikanyaga njia zako zote; atawaua watu wako kwa upanga, na minara ya nguvu zako itashuka hata nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kwato za farasi wake, ataikanyaga mitaa yako yote. Atawaua watu wako kwa panga; minara yako mikubwa ataiangusha chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwato za farasi zake zitakanyaga barabara zako zote, atawaua watu wako kwa upanga na nguzo zako zilizo imara zitaanguka chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwato za farasi zake zitakanyaga barabara zako zote, atawaua watu wako kwa upanga na nguzo zako zilizo imara zitaanguka chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kwato za farasi wake atazikanyaga njia zako zote; atawaua watu wako kwa upanga, na minara ya nguvu zako itashuka hata nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kwato za farasi wake, ataikanyaga mitaa yako yote. Atawaua watu wako kwa panga; minara yako mikubwa ataiangusha chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kwato za farasi wake atazipondaponda barabara zako zote za mjini, walio ukoo wako atawaua kwa panga, nazo nguvu za vinyago vyako zitaangushwa chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kwato za farasi zake atazikanyaga njia zako zote; atawaua watu wako kwa upanga, na minara ya nguvu zako itashuka hata nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kwato za farasi wake, atakanyagakanyaga barabara zako zote. Atawaua watu wako kwa upanga; minara yako mikubwa ataiangusha chini.