Ezekiel 26:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakomesha muziki wa nyimbo zako. Sauti za vinubi vyako hazitasikika tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakomesha kelele za nyimbo zako, na uimbaji wako wa kinubi kamwe hautasikika tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaikomesha sauti ya nyimbo zako, wala sauti ya vinubi vyako haitasikiwa tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakomesha muziki wa nyimbo zako. Sauti za vinubi vyako hazitasikika tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakomesha kelele za nyimbo zako, na uimbaji wako wa kinubi kamwe hautasikika tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakomesha kelele za nyimbo zako, na uimbaji wako wa kinubi kamwe hautasikika tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaikomesha sauti ya nyimbo zako, wala sauti ya vinubi vyako haitasikiwa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakomesha muziki wa nyimbo zako. Sauti za vinubi vyako hazitasikika tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nitakapozikomesha shangwe za nyimbo zako, zisisikiwe tena sauti za mazeze yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaikomesha sauti ya nyimbo zako, wala sauti ya vinubi vyako haitasikiwa tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakomesha muziki wa nyimbo zako. Sauti za vinubi vyako hazitasikilika tena.