Ezekiel 26:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa watu wa bara wanatetemeka kwa sababu ya kuanguka kwake; wakazi wa pwani, wametishika kwa kutoweka kwako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa nchi za pwani zinatetemeka katika siku ya anguko lako; visiwa vilivyomo baharini vinaogopa kwa kuporomoka kwako.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa visiwa vitatetemeka katika siku ya kuanguka kwako; naam, visiwa vilivyo katika bahari vitafadhaika, kwa sababu ya kuondoka kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa watu wa bara wanatetemeka kwa sababu ya kuanguka kwake; wakazi wa pwani, wametishika kwa kutoweka kwako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa nchi za pwani zinatetemeka katika siku ya anguko lako; visiwa vilivyomo baharini vinaogopa kwa kuporomoka kwako.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa nchi za pwani zinatetemeka katika siku ya anguko lako; visiwa vilivyomo baharini vinaogopa kwa kuporomoka kwako.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa visiwa vitatetemeka katika siku ya kuanguka kwako; naam, visiwa vilivyo katika bahari vitafadhaika, kwa sababu ya kuondoka kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa watu wa bara wanatetemeka kwa sababu ya kuanguka kwake; wakazi wa pwani, wametishika kwa kutoweka kwako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo, utakapoangushwa, nchi zilizoko baharini zitakuwa zimestuka, navyo visiwa vilivyomo baharini vitakuwa vimetishika sana kwa kutoweka kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa visiwa vitatetemeka katika siku ya kuanguka kwako; naam, visiwa vilivyo katika bahari vitafadhaika, kwa sababu ya kuondoka kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa watu wa visanga wanatetemeka kwa sababu ya kuanguka kwako; watu wa visanga katika bahari wanatishwa kwa kuanguka kwako!