Ezekiel 26:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wataziharibu kuta zako na kuibomoa minara yako. Nitafagilia mbali udongo wako na kukufanya kuwa jabali tupu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watavunja kuta za Tiro na kuibomoa minara yake, nitakwangua udongo wake na kuufanya mwamba mtupu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wataziharibu kuta za Tiro, na kuibomoa minara yake; tena nitakwangua hata mavumbi yake yamtoke, na kumfanya kuwa jabali tupu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wataziharibu kuta zako na kuibomoa minara yako. Nitafagilia mbali udongo wako na kukufanya kuwa jabali tupu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watavunja kuta za Tiro na kuibomoa minara yake, nitakwangua udongo wake na kuufanya mwamba mtupu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watavunja kuta za Tiro na kuibomoa minara yake, nitakwangua udongo wake na kuufanya mwamba mtupu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wataziharibu kuta za Tiro, na kuibomoa minara yake; tena nitakwangua hata mavumbi yake yamtoke, na kumfanya kuwa jabali tupu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wataziharibu kuta zako na kuibomoa minara yako. Nitafagilia mbali udongo wako na kukufanya kuwa jabali tupu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wataziangusha kuta za boma lake Tiro na kuibomoa minara yake nami nitauparapara mchanga wake, upatoke, mpaka nipageuze mahali pake kuwa mwamba mtupu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wataziharibu kuta za Tiro, na kuibomoa minara yake; tena nitakwangua hata mavumbi yake yamtoke, na kumfanya kuwa jabali tupu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wataziharibu kuta zako na kuibomoa minara yako. Nitafagia kabisa udongo wako na kukufanya kuwa kama jiwe tupu.