Ezekiel 26:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakuwa mahali pakavu katikati ya bahari, na wavuvi watakausha nyavu zao hapo; mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Mataifa yatakuteka nyara,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itakuwa huko katikati ya bahari patakuwa mahali pa kutandaza nyavu za kuvulia samaki, kwa maana nimenena, asema Bwana Mungu Mwenyezi. Atakuwa nyara kwa mataifa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atakuwa mahali pa kutandazia nyavu za wavuvi kati ya bahari; maana mimi nimenena neno hili, asema Bwana MUNGU; naye atakuwa mateka ya mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakuwa mahali pakavu katikati ya bahari, na wavuvi watakausha nyavu zao hapo; mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Mataifa yatakuteka nyara,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itakuwa huko katikati ya bahari patakuwa mahali pa kutandaza nyavu za kuvulia samaki, kwa maana nimenena, asema BWANA Mwenyezi. Atakuwa nyara kwa mataifa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itakuwa huko katikati ya bahari patakuwa mahali pa kutandaza nyavu za kuvulia samaki, kwa maana nimenena, asema bwana Mwenyezi. Atakuwa nyara kwa mataifa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atakuwa mahali pa kutandazia nyavu za wavuvi kati ya bahari; maana mimi nimenena neno hili, asema Bwana MUNGU; naye atakuwa mateka kwa mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakuwa mahali pakavu katikati ya bahari, na wavuvi watakausha nyavu zao hapo; mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Mataifa yatakuteka nyara,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo patakuwa tu pa kuanikia nyavu katikati ya bahari, kwani mimi nimeyasema; nayo mataifa watapanyang'anyiana; ndivyo, asemavyo Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atakuwa mahali pa kutandazia nyavu za wavuvi kati ya bahari; maana mimi nimenena neno hili, asema Bwana MUNGU; naye atakuwa mateka ya mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakuwa pahali penye kukauka katikati ya bahari, na wavuvi watakaushia nyavu zao hapo. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.– Mataifa yatakukamata mateka,