Ezekiel 26:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataiangamiza miji iliyo jirani nawe huko bara. Kisha atajenga kuta za kukushambulia, atajaza udongo kwenye kuta zako na kuweka ukuta wenye ngao ili kukushambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atayaharibu makazi yako huko bara kwa upanga; atajenga husuru dhidi yako, na kupandisha kilima hadi kuta zako, na kuinua ngao zake dhidi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawaua binti zako kwa upanga katika mashamba; naye atafanya ngome juu yako, na kufanya maboma juu yako, na kuiinua ngao juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataiangamiza miji iliyo jirani nawe huko bara. Kisha atajenga kuta za kukushambulia, atajaza udongo kwenye kuta zako na kuweka ukuta wenye ngao ili kukushambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atayaharibu makao yako huko bara kwa upanga, ataweka jeshi kukuzingira, atakuzingira mpaka kwenye kuta za ngome zako na kuinua ngao zake dhidi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atayaharibu makao yako huko bara kwa upanga, ataweka jeshi kukuzingira, atakuzingira mpaka kwenye kuta za ngome zako na kuinua ngao zake dhidi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atawaua binti zako kwa upanga katika mashamba; naye atafanya ngome juu yako, na kufanya maboma juu yako, na kuiinua ngao juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataiangamiza miji iliyo jirani nawe huko bara. Kisha atajenga kuta za kukushambulia, atajaza udongo kwenye kuta zako na kuweka ukuta wenye ngao ili kukushambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliomo katika vijiji vyako vya mrimani atawaua kwa panga; kisha atakujengea minara ya vita, tena atakuzungushia ukingo wa mchanga na kukujengea hapohapo vibanda kuwa ngao zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawaua binti zako kwa upanga katika mashamba; naye atafanya ngome juu yako, na kufanya maboma juu yako, na kuiinua ngao juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataiangamiza miji inayokuwa jirani yako huko katika vijiji. Kisha atajenga kuta za kukushambulia, atajaza udongo kwenye kuta zako na kuweka ukuta wenye ngao kwa kukushambulia.