Ezekiel 26:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataweka magogo yake ya kubomolea mbele ya kuta zako, na kwa mitalimbo ataivunjilia mbali minara yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ataelekeza mapigo ya magogo ya kubomoa boma dhidi ya kuta zako, na kubomoa minara yako kwa silaha zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye ataweka vyombo vyake vya kubomolea mbele za kuta zako, na kwa mashoka yake ataiangusha chini minara yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataweka magogo yake ya kubomolea mbele ya kuta zako, na kwa mitalimbo ataivunjilia mbali minara yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ataelekeza mapigo ya vyombo vyake vya kubomolea dhidi ya kuta zako na kubomoa minara yako kwa silaha zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ataelekeza mapigo ya vyombo vyake vya kubomolea dhidi ya kuta zako na kubomoa minara yako kwa silaha zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye ataweka vyombo vyake vya kubomolea mbele za kuta zako, na kwa mashoka yake ataiangusha chini minara yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataweka magogo yake ya kubomolea mbele ya kuta zako, na kwa mitalimbo ataivunjilia mbali minara yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha atazipiga kuta za boma lako kwa vyombo vyake vya kubomolea, nayo minara yako ataivunja kwa vyuma vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye ataweka vyombo vyake vya kubomolea mbele za kuta zako, na kwa mashoka yake ataiangusha chini minara yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataweka vifaa vyake vya kubomoa mbele ya kuta zako, na kwa nyundo ataivunjavunja minara yako.