Ezekiel 27:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu kutoka Persia, Ludi na Puti walijiunga katika jeshi lako; walirundika kwenye kambi zao za jeshi ngao zao na kofia zao. Wanajeshi hao walikupatia fahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Wanaume wa Uajemi, Ludi na Putu walikuwa askari katika jeshi lako. Walitundika ngao zao na chapeo zao kwenye kuta zako, wakileta fahari yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa Uajemi na Ludi na Putu walikuwa katika jeshi lako, watu wako wa vita; walitungika ngao na chapeo ndani yako; wakadhihirisha uzuri wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu kutoka Persia, Ludi na Puti walijiunga katika jeshi lako; walirundika kwenye kambi zao za jeshi ngao zao na kofia zao. Wanajeshi hao walikupatia fahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Watu wa Uajemi, Ludi na Putu walikuwa askari katika jeshi lako. Walitundika ngao zao na chapeo zao kwenye kuta zako, wakileta fahari yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Watu wa Uajemi, Ludi na Putu walikuwa askari katika jeshi lako. Walitundika ngao zao na chapeo zao kwenye kuta zako, wakileta fahari yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa Uajemi na Ludi na Putu walikuwa katika jeshi lako, watu wako wa vita; walitundika ngao na chapeo ndani yako; wakadhihirisha uzuri wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu kutoka Persia, Ludi na Puti walijiunga katika jeshi lako; walirundika kwenye kambi zao za jeshi ngao zao na kofia zao. Wanajeshi hao walikupatia fahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapersia na Waludi na Waputi walikuwamo katika vikosi vyako vya askari wa kukupigia vita vyako; walipotundika ngao na kofia kwako waliuongea utukufu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa Uajemi na Ludi na Putu walikuwa katika jeshi lako, watu wako wa vita; walitungika ngao na chapeo ndani yako; wakadhihirisha uzuri wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu kutoka Persia, Ludi na Puti walijiunga katika kundi lako la waaskari; walilundika ngao zao na kofia zao kwenye kambi zao za kiaskari. Waaskari hao walikupatia utukufu.