Ezekiel 27:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yavani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, wakakupatia watumwa na vifaa vya shaba wapate bidhaa zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Uyunani, Tubali na Mesheki walifanya biashara nawe; walibadilisha binadamu na vyombo vya shaba kwa bidhaa zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uyunani na Tubali na Mesheki ndio waliokuwa wachuuzi wako; walitoa wanadamu, na vyombo vya shaba, kwa biashara yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yavani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, wakakupatia watumwa na vifaa vya shaba wapate bidhaa zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Uyunani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, walibadilisha watumwa na vyombo vya shaba kwa bidhaa zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Uyunani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, walibadilisha watumwa na vyombo vya shaba kwa bidhaa zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ugiriki na Tubali na Mesheki ndio waliokuwa wachuuzi wako; walitoa wanadamu, na vyombo vya shaba, kwa biashara yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yavani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, wakakupatia watumwa na vifaa vya shaba wapate bidhaa zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wagriki na Watubali na Wameseki walikuwa wachuuzi wako, wakatoa watumwa na vyombo vya shaba, wapate vitu vya kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uyunani na Tubali na Mesheki ndio waliokuwa wachuuzi wako; walitoa wanadamu, na vyombo vya shaba, kwa biashara yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Yavani, Tubali na Meseki, walifanya biashara nawe, wakakupatia watumwa na vifaa vya shaba wapate vitu vyako.