Ezekiel 27:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata watu wa Yuda na Israeli walifanya biashara nawe; walikupa ngano, zeituni, tini za mwanzoni, asali, mafuta na marhamu kulipia bidhaa zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Yuda na Israeli walifanya biashara nawe; walibadilishana ngano iliyotoka Minithi, mtama, asali, mafuta na zeri kwa bidhaa zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuda, na nchi ya Israeli, walikuwa wachuuzi wako; walitoa badala ya bidhaa yako ngano ya Minithi, na mtama, na asali, na mafuta, na zeri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata watu wa Yuda na Israeli walifanya biashara nawe; walikupa ngano, zeituni, tini za mwanzoni, asali, mafuta na marhamu kulipia bidhaa zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Yuda na Israeli walifanya biashara nawe, walibadilishana kwa ngano kutoka Minithi, mtama, asali, mafuta na marhamu ya kuponyeshea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Yuda na Israeli walifanya biashara nawe, walibadilishana kwa ngano kutoka Minithi, mtama, asali, mafuta na zeri ya kuponyeshea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuda, na nchi ya Israeli, walikuwa wachuuzi wako; walitoa badala ya bidhaa yako ngano ya Minithi, na mtama, na asali, na mafuta, na zeri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata watu wa Yuda na Israeli walifanya biashara nawe; walikupa ngano, zeituni, tini za mwanzoni, asali, mafuta na marhamu kulipia bidhaa zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda nao wa nchi ya Isiraeli walikuwa wachuuzi wako, wakanunua vitu vya kwako kwa ngano za Miniti na kwa vikate vitamu na kwa asali na kwa mafuta na kwa uvumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuda, na nchi ya Israeli, walikuwa wachuuzi wako; walitoa badala ya bidhaa yako ngano ya Minithi, na mtama, na asali, na mafuta, na zeri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata watu wa inchi ya Yuda na ya Israeli walifanya biashara nawe; walikupa ngano, mizeituni, tini za kwanzakwanza, asali, mafuta na marasi kwa kununua vitu kwako.