Ezekiel 27:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waarabu na wakuu wote wa nchi ya Kedari walikuwa wachuuzi wako wakuu katika biashara ya wanakondoo, kondoo madume na mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Arabuni na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako; walifanya biashara nawe ya kubadilishana wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako; kwa wana-kondoo, na kondoo waume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waarabu na wakuu wote wa nchi ya Kedari walikuwa wachuuzi wako wakuu katika biashara ya wanakondoo, kondoo madume na mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Arabia na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako waliobadilishana bidhaa zako na wana-kondoo, kondoo waume na mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Arabuni na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako waliobadilishana bidhaa zako na wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako; kwa wana-kondoo, na kondoo dume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waarabu na wakuu wote wa nchi ya Kedari walikuwa wachuuzi wako wakuu katika biashara ya wanakondoo, kondoo madume na mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waarabu na wakuu wote wa Kedari nao wakaja kuchuuza mikononi mwako, wakanunua kwako kwa wana kondoo na kwa madume ya kondoo na kwa mbuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako; kwa wana-kondoo, na kondoo waume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waarabu na wakubwa wote wa inchi ya Kedari walikuwa wachuuzi wako wakubwa katika biashara ya wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi.