Ezekiel 27:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wachuuzi wa Sheba na wa Rama walifanya biashara nawe; walikuletea viungo vya chakula, vito vya thamani na dhahabu kujipatia bidhaa zako safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Wafanyabiashara wa Sheba na wa Raama walifanya biashara nawe, wakabadilishana bidhaa zako na aina zote za vikolezo, vito vya thamani na dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wachuuzi wa Sheba, na Raama, ndio waliokuwa wachuuzi wako; badala ya vitu vyako walitoa manukato yaliyo mazuri, na kila aina ya vito vya thamani, na dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wachuuzi wa Sheba na wa Rama walifanya biashara nawe; walikuletea viungo vya chakula, vito vya thamani na dhahabu kujipatia bidhaa zako safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Wafanya biashara wa Sheba na wa Rama walifanya biashara nawe, walibadilishana bidhaa zako na aina zote za vikolezi, vito vya thamani na dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Wafanyabiashara wa Sheba na wa Raama walifanya biashara nawe, wakabadilishana bidhaa zako na aina zote za vikolezi, vito vya thamani na dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wachuuzi wa Sheba, na Raama, ndio waliokuwa wachuuzi wako; badala ya vitu vyako walitoa manukato yaliyo mazuri, na kila aina ya vito vya thamani, na dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wachuuzi wa Sheba na wa Rama walifanya biashara nawe; walikuletea viungo vya chakula, vito vya thamani na dhahabu kujipatia bidhaa zako safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wachuuzi wa Saba na wa Raama nao walikuwa wachuuzi wako, wakazinunua bidhaa zako kwa manukato mazuri mno kupita yote mengine na kwa vito vya namna zote vyenye kiasi kikubwa na kwa dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wachuuzi wa Sheba, na Raama, ndio waliokuwa wachuuzi wako; badala ya vitu vyako walitoa manukato yaliyo mazuri, na kila aina ya vito vya thamani, na dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachuuzi wa Seba na wa Rama walifanya biashara nawe; walikuletea viungo vya chakula, mawe ya bei kali na zahabu kwa kujipatia vitu vyako safi.