Ezekiel 27:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Merikebu za Tarshishi ndizo zilikusafirishia bidhaa zako. Basi kama meli katikati ya bahari wewe ulikuwa umejaa shehena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo zinazokusafirishia bidhaa zako. Umejazwa shehena kubwa katika moyo wa bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa sana, ukawa mtukufu sana, katika moyo wa bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Merikebu za Tarshishi ndizo zilikusafirishia bidhaa zako. Basi kama meli katikati ya bahari wewe ulikuwa umejaa shehena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo zinazokusafirishia bidhaa zako. Umejazwa shehena kubwa katika moyo wa bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo zinazokusafirishia bidhaa zako. Umejazwa shehena kubwa katika moyo wa bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa sana, ukawa mtukufu sana, katika moyo wa bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Merikebu za Tarshishi ndizo zilikusafirishia bidhaa zako. Basi kama meli katikati ya bahari wewe ulikuwa umejaa shehena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Merikebu za Tarsisi zilikuwa kama wapangazi wako wa kupeleka vitu vya kwako, ukafurikiwa, ukatukuka sana huko ndani baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa sana, ukawa mtukufu sana, katika moyo wa bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashua makubwa za Tarsisi ndizo zilikusafirishia vitu vyako. Basi wewe ulikuwa umejaa vitu kama vile mashua katikati ya bahari.