Ezekiel 27:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wapiga makasia wote wataziacha meli zao. Wanamaji na manahodha watakaa pwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wapigao makasia wataacha meli zao, mabaharia wote na wanamaji wote watasimama pwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wote wavutao kasia, wana-maji, na rubani zote wa baharini, watashuka katika merikebu zao, na kusimama katika nchi kavu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wapiga makasia wote wataziacha meli zao. Wanamaji na manahodha watakaa pwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wapigao makasia wataacha meli zao, mabaharia wote na wanamaji wote watasimama pwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wapigao makasia wataacha meli zao, mabaharia wote na wanamaji wote watasimama pwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wote wavutao makasia, wanamaji, na rubani wote wa baharini, watashuka katika merikebu zao, na kusimama katika nchi kavu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wapiga makasia wote wataziacha meli zao. Wanamaji na manahodha watakaa pwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wote wavutao makasia watakaposhuka na kutoka merikebuni mwao mabaharia nao wote waelekezao vyombo baharini wasimame pwani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wote wavutao kasia, wana-maji, na rubani zote wa baharini, watashuka katika merikebu zao, na kusimama katika nchi kavu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wavuta makasia wote wataziacha mashua zao. Waongozi wote wa mashua watakaa inchi kavu.