Ezekiel 27:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mji ule kando ya bahari, unaofanya biashara na mataifa ya pwani. Uambie: Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Ewe Tiro, wewe umejigamba u mzuri kwelikweli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “ ‘Ee Tiro, wewe umesema, “Mimi ni mkamilifu katika uzuri.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
umwambie Tiro, Ewe ukaaye penye maingilio ya bahari, uliye mchuuzi wa watu wa kabila nyingi, mpaka visiwa vingi, Bwana MUNGU asema hivi; Wewe, Tiro, umesema, Mimi ni ukamilifu wa uzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mji ule kando ya bahari, unaofanya biashara na mataifa ya pwani. Uambie: Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Ewe Tiro, wewe umejigamba u mzuri kwelikweli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: “ ‘Ee Tiro, wewe umesema, “Mimi ni mkamilifu katika uzuri.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Ee Tiro, wewe umesema, “Mimi ni mkamilifu katika uzuri.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
umwambie Tiro, Ewe ukaaye penye maingilio ya bahari, uliye mchuuzi wa watu wa kabila nyingi, mpaka visiwa vingi, Bwana MUNGU asema hivi; Wewe, Tiro, umesema, Mimi ni ukamilifu wa uzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mji ule kando ya bahari, unaofanya biashara na mataifa ya pwani. Uambie: Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Ewe Tiro, wewe umejigamba u mzuri kwelikweli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uambie Tiro: Wewe ulikaa paingiapo bahari, ukachuuza katika nchi nyingi za baharini; hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Wewe Tiro ulisema: Mimi nimetimiza uzuri wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
umwambie Tiro, Ewe ukaaye penye maingilio ya bahari, uliye mchuuzi wa watu wa kabila nyingi, mpaka visiwa vingi, Bwana MUNGU asema hivi; Wewe, Tiro, umesema, Mimi ni ukamilifu wa uzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji wenye kuwa karibu ya bahari, unaofanya biashara na mataifa ya visanga vingi. Umwambie: Bwana wetu Yawe anasema hivi: Ewe Tiro, wewe umejivuna kuwa muzuri kwelikweli!