Ezekiel 27:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bidhaa zako zilipowasili nchi za ngambo, ulitosheleza mahitaji ya watu wengi! Kwa wingi wa utajiri wa bidhaa zako uliwatajirisha wafalme wa dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bidhaa zako zilipotoka baharini, ulitosheleza mataifa mengi; kwa wingi wa utajiri wako na bidhaa zako ulitajirisha wafalme wa dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bidhaa zako zilipotoka katika bahari, uliwajaza watu wa kabila nyingi; uliwatajirisha wafalme wa dunia, kwa wingi wa mali zako, na kwa utajiri wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bidhaa zako zilipowasili nchi za ng'ambo, ulitosheleza mahitaji ya watu wengi! Kwa wingi wa utajiri wa bidhaa zako uliwatajirisha wafalme wa dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati bidhaa zako zilipotoka baharini, ulitosheleza mataifa mengi; kwa wingi wa utajiri wako na bidhaa zako ulitajirisha wafalme wa dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati bidhaa zako zilipotoka baharini, ulitosheleza mataifa mengi; kwa wingi wa utajiri wako na bidhaa zako ulitajirisha wafalme wa dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bidhaa zako zilipotoka katika bahari, uliwajaza watu wa kabila nyingi; uliwatajirisha wafalme wa dunia, kwa wingi wa mali zako, na kwa utajiri wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bidhaa zako zilipowasili nchi za ngambo, ulitosheleza mahitaji ya watu wengi! Kwa wingi wa utajiri wa bidhaa zako uliwatajirisha wafalme wa dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bidhaa zako zilipotoka baharini ulishibisha makabila mengi ya watu, kwa wingi wa mali zako na wa vitu vya kwako uliwapatia wafalme wa nchi mali nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bidhaa zako zilipotoka katika bahari, uliwajaza watu wa kabila nyingi; uliwatajirisha wafalme wa dunia, kwa wingi wa mali zako, na kwa utajiri wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vitu vyako vilipofika katika inchi za ngambo, ulitimiza mahitaji ya watu wengi! Kwa wingi wa utajiri wa vitu vyako uliwatajirisha wafalme wa dunia.