Ezekiel 27:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa umevunjikia baharini; umeangamia katika vilindi vya maji. Shehena yako na jamii ya mabaharia vimezama pamoja nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa umevunjavunjwa na bahari, katika vilindi vya maji, bidhaa zako na kundi lako lote vimezama pamoja nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati ulipovunjwa na bahari, katika vilindi vya maji, bidhaa zako na jeshi lako lote walianguka kati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa umevunjikia baharini; umeangamia katika vilindi vya maji. Shehena yako na jamii ya mabaharia vimezama pamoja nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa umevunjwavunjwa na bahari, katika vilindi vya maji, bidhaa zako na kundi lako lote vimezama pamoja nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa umevunjavunjwa na bahari, katika vilindi vya maji, bidhaa zako na kundi lako lote vimezama pamoja nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati ulipovunjwa na bahari, katika vilindi vya maji, bidhaa zako na jeshi lako lote walianguka kati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa umevunjikia baharini; umeangamia katika vilindi vya maji. Shehena yako na jamii ya mabaharia vimezama pamoja nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa umevunjwa, utoweke baharini kwa kutoswa vilindini penye maji mengi, navyo vitu vya kwako vya kuuza nao mkutano wa watu wako waliokuwamo mwako wamezama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ulipovunjwa na bahari, katika vilindi vya maji, bidhaa zako na jeshi lako lote walianguka kati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa umevunjikia ndani ya bahari; umeangamia katika vilindi vya maji. Biashara yako na watu wote waliokuwa ndani yako vimezama pamoja nawe.