Ezekiel 27:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wachuuzi wa mataifa watakufyonya! Umeufikia mwisho wa kutisha, na hutakuwapo tena milele!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafanyabiashara miongoni mwa mataifa wanakucheka; umefikia mwisho wa kutisha nawe hutakuwepo tena.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafanya biashara kati ya kabila za watu wakuzomea; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwapo tena milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wachuuzi wa mataifa watakufyonya! Umeufikia mwisho wa kutisha, na hutakuwapo tena milele!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafanya biashara miongoni mwa mataifa wanakucheka; umefikia mwisho wa kutisha nawe hutakuwepo tena.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafanyabiashara miongoni mwa mataifa wanakucheka; umefikia mwisho wa kutisha nawe hutakuwepo tena.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafanya biashara kati ya makabila ya watu wakuzomea; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwapo tena milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wachuuzi wa mataifa watakufyonya! Umeufikia mwisho wa kutisha, na hutakuwapo tena milele!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wachuuzi walioko kwenye makabila ya watu hukuzomea, kwa kuwa umegunduliwa na maangamizo, wala hutakuwapo tena kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafanya biashara kati ya kabila za watu wakuzomea; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwapo tena milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachuuzi wa mataifa watakuzomea! Umekuwa kitu cha kuogopesha, na umetoweka kwa milele!