Ezekiel 27:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajenzi wako walitumia misonobari kutoka Seniri kupasua mbao zako zote; walichukua mierezi kutoka Lebanoni kukutengenezea mlingoti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walizifanya mbao zako zote kwa misunobari kutoka Seniri; walichukua mwerezi kutoka Lebanoni kukutengenezea mlingoti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbao zako zote wamezifanya kwa misunobari itokayo Seniri; wametwaa mierezi ya Lebanoni ili kukufanyia mlingoti;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajenzi wako walitumia misonobari kutoka Seniri kupasua mbao zako zote; walichukua mierezi kutoka Lebanoni kukutengenezea mlingoti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walizifanya mbao zako zote kwa misonobari itokayo Seniri; walichukua mierezi kutoka Lebanoni kukutengenezea mlingoti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walizifanya mbao zako zote kwa misunobari itokayo Seniri; walichukua mierezi kutoka Lebanoni kukutengenezea mlingoti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbao zako zote wamezifanya kwa misonobari itokayo Seniri; wametwaa mierezi ya Lebanoni ili kukufanyia mlingoti;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajenzi wako walitumia misonobari kutoka Seniri kupasua mbao zako zote; walichukua mierezi kutoka Lebanoni kukutengenezea mlingoti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikujenga pande zote mbili kwa mbao za mivinje ya Seniri, wakachukua mwangati huko Libanoni wa kukutengenezea mlingoti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbao zako zote wamezifanya kwa misunobari itokayo Seniri; wametwaa mierezi ya Lebanoni ili kukufanyia mlingoti;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliokujenga walitumia miti ya misunobari ya kutoka Seniri kwa kupasua mbao zako zote; walitwaa mierezi kutoka Lebanoni kwa kukutengenezea mulingoti.