Ezekiel 27:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitani kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa kwa kupamba tanga lako na kwa ajili ya bendera yako. Chandarua chako kilitengenezwa kwa rangi ya samawati na urujuani kutoka visiwa vya Elisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako, nacho kilikuwa bendera yako; chandarua chako kilikuwa cha rangi ya buluu na ya zambarau kutoka visiwa vya Al-Yasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tanga lako lilikuwa la kitani safi itokayo Misri, iliyotiwa taraza, ili iwe bendera kwako; na chandalua chako kilikuwa cha rangi ya samawi na urujuani toka visiwa vya Elisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitani kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa kwa kupamba tanga lako na kwa ajili ya bendera yako. Chandarua chako kilitengenezwa kwa rangi ya samawati na urujuani kutoka visiwa vya Elisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako, nacho kilikuwa bendera yako; chandarua chako kilikuwa cha rangi ya buluu na ya zambarau kutoka visiwa vya Elisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako, nacho kilikuwa bendera yako; chandarua chako kilikuwa cha rangi ya buluu na ya zambarau kutoka visiwa vya Al-Yasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tanga lako lilikuwa la kitani safi itokayo Misri, iliyotiwa tarizi, ili iwe bendera kwako; na chandarua chako kilikuwa cha rangi ya samawati na urujuani toka visiwa vya Elisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitani kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa kwa kupamba tanga lako na kwa ajili ya bendera yako. Chandarua chako kilitengenezwa kwa rangi ya samawati na urujuani kutoka visiwa vya Elisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguo za rangi zilizotoka Misri zilikuwa tanga lako zikawa hata bendera yako. Nguo za kifalme nyeusi na nyekundu zilizotokavisiwa vya Elisa zilikuwa chandalua chako cha kujifunika juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tanga lako lilikuwa la kitani safi itokayo Misri, iliyotiwa taraza, ili iwe bendera kwako; na chandalua chako kilikuwa cha rangi ya samawi na urujuani toka visiwa vya Elisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitani kilichopindwa vizuri kutoka Misri kilikuwa kwa kupamba tanga lako na kwa ajili ya bendera yako. Chandarua chako kilitengenezwa na nguo ya rangi ya samawi na nyekundu-nyeusi kutoka visanga vya Elisa.