Ezekiel 27:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia wako. Wenye hekima wako walikuwa ndani wakifanya kazi kama wanamaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaaji wa Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako; watu wako wenye ustadi, ee Tiro, ndio walikuwa mabaharia wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaao Sidoni na Arvadi ndio waliovuta makasia yako; wana wako wenye akili, Ee Tiro, walikuwa ndani yako, ndio waliokuwa rubani zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia wako. Wenye hekima wako walikuwa ndani wakifanya kazi kama wanamaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu kutoka Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako; watu wako wenye ustadi, Ee Tiro, walikuwa ndio mabaharia wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu kutoka Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako; watu wako wenye ustadi, ee Tiro, walikuwa ndio mabaharia wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaao Sidoni na Arvadi ndio waliovuta makasia yako; wana wako wenye akili, Ee Tiro, walikuwa ndani yako, ndio waliokuwa rubani wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia wako. Wenye hekima wako walikuwa ndani wakifanya kazi kama wanamaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliokaa Sidoni na Arwadi walikuwa mabaharia wako, nao werevu wa kweli wa kwako, Tiro, ndio waliokuwa waelekeza chombo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaao Sidoni na Arvadi ndio waliovuta makasia yako; wana wako wenye akili, Ee Tiro, walikuwa ndani yako, ndio waliokuwa rubani zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa miji Sidona na Arwadi walikuwa wapiga makasia wako. Wenye hekima wako walikuwa ndani wakifanya kazi ya kuongoza.