Ezekiel 28:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliishi maisha yasiyo na lawama, tangu siku ile ulipoumbwa, hadi ulipoanza kufanya uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulikuwa mnyofu katika njia zako tangu siku ile ya kuumbwa kwako, hadi uovu ulipoonekana ndani yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu ulipoonekana ndani yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliishi maisha yasiyo na lawama, tangu siku ile ulipoumbwa, hadi ulipoanza kufanya uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulikuwa mnyofu katika njia zako tangu siku ile ya kuumbwa kwako, hadi uovu ulipoonekana ndani yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulikuwa mnyofu katika njia zako tangu siku ile ya kuumbwa kwako, hadi uovu ulipoonekana ndani yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu ulipoonekana ndani yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliishi maisha yasiyo na lawama, tangu siku ile ulipoumbwa, hadi ulipoanza kufanya uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukawa pasipo kosa lo lote katika njia zako tangu siku ile, ulipoumbwa, mpaka upotovu ulipooneka kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu ulipoonekana ndani yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliishi maisha makamilifu tangu siku ile ulipoumbwa, mpaka wakati ulipoanza kufanya uovu.