Ezekiel 28:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wanaokufahamu kati ya mataifa wameshikwa na mshangao juu yako. Umeufikia mwisho wa kutisha, na hutakuwapo tena milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa yote yaliyokujua yanakustaajabia; umefikia mwisho wa kutisha na hutakuwepo tena milele.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote wakujuao kati ya kabila za watu watakustaajabia; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwapo tena hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wanaokufahamu kati ya mataifa wameshikwa na mshangao juu yako. Umeufikia mwisho wa kutisha, na hutakuwapo tena milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa yote yaliyokujua yanakustajabia; umefikia mwisho wa kutisha na hutakuwepo tena milele.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa yote yaliyokujua yanakustajabia; umefikia mwisho wa kutisha na hutakuwepo tena milele.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote wakujuao kati ya makabila ya watu watakustaajabia; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwapo tena hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wanaokufahamu kati ya mataifa wameshikwa na mshangao juu yako. Umeufikia mwisho wa kutisha, na hutakuwapo tena milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote waliokujua katika makabila ya watu hukustukia, kwa kuwa umegunduliwa na maangamizo, nawe hutakuwapo tena kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote wakujuao kati ya kabila za watu watakustaajabia; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwapo tena hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanaokufahamu kati ya mataifa wameshikwa na mushangao juu yako. Umekuwa kitu cha kuogopesha, na kutoweka kwa milele.