Ezekiel 28:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya! Wewe wajiona mwenye hekima kuliko Danieli, wadhani hakuna siri yoyote usiyoijua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wewe una hekima kuliko Danieli? Je, hakuna siri iliyofichika kwako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, una hekima kuliko Danieli; hapana neno la siri watu wawezalo kukuficha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya! Wewe wajiona mwenye hekima kuliko Danieli, wadhani hakuna siri yoyote usiyoijua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wewe una hekima kuliko Danieli? Je, hakuna siri iliyofichika kwako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wewe una hekima kuliko Danieli? Je, hakuna siri iliyofichika kwako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, una hekima kuliko Danieli; hapana neno la siri watu wawezalo kukuficha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya! Wewe wajiona mwenye hekima kuliko Danieli, wadhani hakuna siri yoyote usiyoijua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Wewe u mwerevu wa kweli kuliko Danieli, lisifichike jambo lo lote, usipolipambazua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, una hekima kuliko Danieli; hapana neno la siri watu wawezalo kukuficha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unajiona mwenye hekima kuliko Danieli, unazani hakuna siri yoyote usiyoijua.