Ezekiel 28:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa busara yako kubwa katika biashara umejiongezea utajiri wako, ukawa na kiburi kwa mali zako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa werevu wako mwingi katika biashara, umeongeza utajiri wako na kwa sababu ya utajiri wako moyo wako umekuwa na kiburi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa hekima yako nyingi, na kwa biashara yako, umeongeza utajiri wako, na moyo wako umeinuka kwa sababu ya utajiri wako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa busara yako kubwa katika biashara umejiongezea utajiri wako, ukawa na kiburi kwa mali zako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa werevu wako mwingi katika biashara, umeongeza utajiri wako na kwa sababu ya utajiri wako moyo wako umekuwa na kiburi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa werevu wako mwingi katika biashara, umeongeza utajiri wako na kwa sababu ya utajiri wako moyo wako umekuwa na kiburi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa hekima yako nyingi, na kwa biashara yako, umeongeza utajiri wako, na moyo wako umeinuka kwa sababu ya utajiri wako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa busara yako kubwa katika biashara umejiongezea utajiri wako, ukawa na kiburi kwa mali zako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa mwenye werevu mwingi ulio wa kweli ukaziongeza sana mali zako kwa biashara zako, ulizozifanya; kwa hizo mali zako moyo wako ukajikuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa hekima yako nyingi, na kwa biashara yako, umeongeza utajiri wako, na moyo wako umeinuka kwa sababu ya utajiri wako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa werevu wako mukubwa katika biashara umejiongezea utajiri wako, ukakuwa na kiburi kwa ajili ya mali zako!