Ezekiel 28:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi nitakuletea watu wageni, mataifa katili kuliko yote. Wataharibu fahari ya hekima yako na kuchafua uzuri wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mimi nitawaleta wageni dhidi yako, taifa katili kuliko yote; watafuta panga zao dhidi ya uzuri wa hekima yako, na kuchafua fahari yako inayong’aa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, tazama, nitaleta wageni juu yako, watu wa mataifa wenye kutisha; nao watafuta panga zao juu ya uzuri wa hekima yako, nao watautia uchafu mwangaza wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi nitakuletea watu wageni, mataifa katili kuliko yote. Wataharibu fahari ya hekima yako na kuchafua uzuri wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mimi nitawaleta wageni dhidi yako, taifa katili kuliko yote; watafuta panga zao dhidi ya uzuri wa hekima yako, na kuchafua fahari yako inayong'aa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mimi nitawaleta wageni dhidi yako, taifa katili kuliko yote; watafuta panga zao dhidi ya uzuri wa hekima yako, na kuchafua fahari yako inayong’aa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, tazama, nitaleta wageni juu yako, watu wa mataifa wenye kutisha; nao watafuta panga zao juu ya uzuri wa hekima yako, nao watautia uchafu mwangaza wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi nitakuletea watu wageni, mataifa katili kuliko yote. Wataharibu fahari ya hekima yako na kuchafua uzuri wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa sababu hiyo utaniona, nikikupelekea wageni, ndio mataifa yenye ukali kupita wengine. Nao watazichomoa panga zao kupigana na uzuri wa werevu wako wa kweli, wauchafue uangafu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, tazama, nitaleta wageni juu yako, watu wa mataifa wenye kutisha; nao watafuta panga zao juu ya uzuri wa hekima yako, nao watautia uchafu mwangaza wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi nitakuletea watu wageni, mataifa ya hatari kuliko yote. Wataharibu utukufu wa hekima yako na kuchafua uzuri wako.