Ezekiel 28:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakutumbukiza chini shimoni, nawe utakufa kifo cha kikatili kilindini mwa bahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakushusha chini shimoni, nawe utakufa kifo cha kikatili katika moyo wa bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watakushusha hata shimoni; nawe utakufa kifo chao waliouawa kati ya bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakutumbukiza chini shimoni, nawe utakufa kifo cha kikatili kilindini mwa bahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakushusha chini shimoni, nawe utakufa kifo cha kikatili katika moyo wa bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakushusha chini shimoni, nawe utakufa kifo cha kikatili katika moyo wa bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watakushusha hadi shimoni; nawe utakufa kifo chao waliouawa kati ya bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakutumbukiza chini shimoni, nawe utakufa kifo cha kikatili kilindini mwa bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakusukuma, ushuke shimoni, nawe utakufa baharini katikati, kama waliopigwa na panga wanavyokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watakushusha hata shimoni; nawe utakufa kifo chao waliouawa kati ya bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakutumbukiza chini ndani ya shimo, nawe utakufa kifo cha rafla katika kilindi cha bahari.