Ezekiel 29:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kumi, mwaka wa kumi tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili, neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili ya mwezi, neno la Bwana likanijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kumi, mwaka wa kumi tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili, neno la BWANA likanijia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili, neno la bwana likanijia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kumi, mwaka wa kumi tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa 10 katika mwezi wa kumi siku yake ya kumi na mbili neno la Bwana likanijia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kumi, mwaka wa kumi tangu tulipopelekwa katika uhamisho, neno la Yawe lilinifikia kusema hivi: