Ezekiel 29:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, mwaka wa ishirini na saba tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza, neno la Mwenyezi Mungu likanijia, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, neno la Bwana likanijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, mwaka wa ishirini na saba tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza, neno la BWANA likanijia, kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza, neno la bwana likanijia, kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, mwaka wa ishirini na saba tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa katika mwaka wa 27 siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, ndipo, neno la Bwana liliponijia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, mwaka wa makumi mbili na saba tangu tulipopelekwa katika uhamisho, neno la Yawe lilinifikia kusema hivi: