Ezekiel 29:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nitakutia ndoana tayani mwako, na kufanya samaki wakwame magambani mwako. Nitakuvua kutoka huko mtoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nitatia ndoana katika mataya yako nami nitawafanya samaki wa vijito vyako washikamane na magamba yako. Nitakutoa katikati ya vijito vyako, pamoja na samaki wote walioshikamana na magamba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitatia kulabu katika taya zako, nami nitawashikamanisha samaki wa mito yako na magamba yako; nami nitakutoa katika mito yako, pamoja na samaki wa mito yako walioshikamana na magamba yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nitakutia ndoana tayani mwako, na kufanya samaki wakwame magambani mwako. Nitakuvua kutoka huko mtoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nitatia ndoana katika mataya yako nami nitawafanya samaki wa vijito vyako washikamane na magamba yako. Nitakutoa katikati ya vijito vyako, pamoja na samaki wote walioshikamana na magamba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nitatia ndoana katika mataya yako nami nitawafanya samaki wa vijito vyako washikamane na magamba yako. Nitakutoa katikati ya vijito vyako, pamoja na samaki wote walioshikamana na magamba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitatia ndoana katika taya zako, nami nitawashikamanisha samaki wa mito yako na magamba yako; nami nitakutoa katika mito yako, pamoja na samaki wa mito yako walioshikamana na magamba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nitakutia ndoana tayani mwako, na kufanya samaki wakwame magambani mwako. Nitakuvua kutoka huko mtoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakutia ndoana kubwa katika taya zako, kisha nitawagandamanisha samaki wa majito yako magambani pako, nikupandishe na kukutoa ndani ya majito yako pamoja na samaki wote waliomo majitoni mwako, wakigandamana na magamba yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitatia kulabu katika taya zako, nami nitawashikamanisha samaki wa mito yako na magamba yako; nami nitakutoa katika mito yako, pamoja na samaki wa mito yako walioshikamana na magamba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nitakutia ndoana katika mataya yako, na kuamuru samaki wakwame katika magamba yako. Nitakuvua kutoka huko ndani ya muto.