Ezekiel 29:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo ndipo wakazi wote wa Misri watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. “Waisraeli walikutegemea wewe ee Misri, lakini umekuwa dhaifu kama utete.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wale wote wanaoishi Misri watajua kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu. “ ‘Umekuwa fimbo ya tete kwa nyumba ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote wakaao Misri watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, kwa sababu wamekuwa mwanzi wa kutegemewa kwa nyumba ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo ndipo wakazi wote wa Misri watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. “Waisraeli walikutegemea wewe ee Misri, lakini umekuwa dhaifu kama utete.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wale wote waishio Misri watakapojua kuwa Mimi ndimi BWANA. “ ‘Umekuwa fimbo ya tete kwa nyumba ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wale wote waishio Misri watakapojua kuwa Mimi ndimi bwana. “ ‘Umekuwa fimbo ya tete kwa nyumba ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote wakaao Misri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, kwa sababu wamekuwa mwanzi wa kutegemewa kwa nyumba ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo ndipo wakazi wote wa Misri watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. “Waisraeli walikutegemea wewe ee Misri, lakini umekuwa dhaifu kama utete.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wote wakaao Misri watakapojua, ya kuwa mimi ni Bwana, kwa kuwa walikuwa kwao wa mlango wa Isiraeli kama mwanzi wa kujiegemezea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote wakaao Misri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, kwa sababu wamekuwa mwanzi wa kutegemewa kwa nyumba ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wakaaji wote wa Misri watatambua kwamba mimi ni Yawe. Waisraeli walikutegemea wewe ee Misri, lakini umekuwa zaifu kama utete.