Ezekiel 29:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitazusha upanga dhidi yako na kuwaua watu na wanyama wako wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Nitaleta upanga juu yako na kuua watu wako na wanyama wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitaleta upanga juu yako, nami nitakatilia mbali nawe wanadamu na wanyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitazusha upanga dhidi yako na kuwaua watu na wanyama wako wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa hiyo hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Nitaleta upanga juu yako na kuua watu wako na wanyama wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa hiyo hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Nitaleta upanga juu yako na kuua watu wako na wanyama wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitaleta upanga juu yako, nami nitakatilia mbali nawe wanadamu na wanyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitazusha upanga dhidi yako na kuwaua watu na wanyama wako wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Bwana Mungu anasema hivi: Utaniona, nikikupelekea panga, niangamize kwako watu na nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitaleta upanga juu yako, nami nitakatilia mbali nawe wanadamu na wanyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Bwana wetu Yawe anasema hivi: Nitaleta upanga juu yako na kuwaua watu na nyama wako wote.