Ezekiel 3:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaniambia, “Wewe mtu, kula unachopewa; kula kitabu hiki kisha uende ukawaeleze Waisraeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akaniambia, “Mwanadamu, kula kilichoko mbele yako, kula kitabu hiki, kisha uende ukaseme na nyumba ya Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaniambia, Mwanadamu, kula uonacho; kula gombo hili, kisha enenda ukaseme na wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaniambia, “Wewe mtu, kula unachopewa; kula kitabu hiki kisha uende ukawaeleze Waisraeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akaniambia, “Mwanadamu, kula kile kilichoko mbele yako, kula huu ukurasa wa kitabu, kisha uende ukaseme na nyumba ya Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akaniambia, “Mwanadamu, kula kile kilichoko mbele yako, kula huu ukurasa wa kitabu, kisha uende ukaseme na nyumba ya Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaniambia, Mwanadamu, kula uonacho; kula gombo hili, kisha nenda ukaseme na wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaniambia, “Wewe mtu, kula unachopewa; kula kitabu hiki kisha uende ukawaeleze Waisraeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniambia: Mwana wa mtu, utakachokiona, kile! Ukile kitabu hiki kilichozingwa! Kisha nenda kusema na mlango wa Isiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaniambia, Mwanadamu, kula uonacho; kula gombo hili, kisha enenda ukaseme na wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaniambia: Wewe mwanadamu, kula unachopewa; kula kizingo hiki cha kitabu, kisha uende kusema na Waisraeli.