Ezekiel 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nenda kwa watu wako waliopelekwa uhamishoni, ukawaambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi na hivi. Waambie hata kama watakusikiliza au watakataa kukusikiliza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nenda kwa watu wa taifa lako walio uhamishoni, ukaseme nao. Waambie, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi’; iwe watasikiliza au hawatasikiliza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya! Enenda uwafikilie watu hao waliohamishwa, kwa wana wa watu wako, ukaseme nao, na kuwaambia, Bwana MUNGU asema hivi; kwamba watasikia, au kwamba hawataki kusikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nenda kwa watu wako waliopelekwa uhamishoni, ukawaambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi na hivi. Waambie hata kama watakusikiliza au watakataa kukusikiliza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nenda kwa watu wa taifa lako walio uhamishoni, ukaseme nao. Waambie, ‘Hivi ndivyo BWANA Mwenyezi asemavyo,’ kwamba watasikiliza au hawatasikiliza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nenda kwa watu wa taifa lako walio uhamishoni, ukaseme nao. Waambie, ‘Hivi ndivyo bwana Mwenyezi asemavyo,’ kwamba watasikiliza au hawatasikiliza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya! Nenda uwafikie watu hao waliohamishwa, kwa wana wa watu wako, ukaseme nao, na kuwaambia, Bwana MUNGU asema hivi; iwe watasikia au hawataki kusikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nenda kwa watu wako waliopelekwa uhamishoni, ukawaambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi na hivi. Waambie hata kama watakusikiliza au watakataa kukusikiliza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nenda ufike kwao waliotekwa na kuhamishwa, walio wana wa ukoo wako, useme nao na kuwaambia: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema. Ikiwa wanasikia, au ikiwa wanaacha kusikia, basi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya! Enenda uwafikilie watu hao waliohamishwa, kwa wana wa watu wako, ukaseme nao, na kuwaambia, Bwana MUNGU asema hivi; kwamba watasikia, au kwamba hawataki kusikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha uende kwa watu wako waliopelekwa katika uhamisho, uwaambie kwamba: “Yawe anasema hivi”, wakisikia au wakikataa kusikia.