Ezekiel 3:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha roho ya Mungu ikaninyanyua, nami nikasikia nyuma yangu sauti kama ya tetemeko kubwa. “Na usifiwe utukufu wa Mwenyezi-Mungu mbinguni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Roho wa Mungu akaniinua juu, nami nikasikia sauti kubwa ya ngurumo nyuma yangu ikisema, “Utukufu wa Mwenyezi Mungu na utukuzwe katika makao yake!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo roho ikaniinua, nami nikasikia nyuma yangu sauti kama mshindo wa radi kuu, ikisema, Na uhimidiwe utukufu wa Bwana tokea mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha roho ya Mungu ikaninyanyua, nami nikasikia nyuma yangu sauti kama ya tetemeko kubwa. “Na usifiwe utukufu wa Mwenyezi-Mungu mbinguni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Roho akaniinua, nikasikia sauti kubwa nyuma yangu ya ngurumo. (Utukufu wa BWANA na utukuzwe katika mahali pa makao yake!)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Roho akaniinua, nikasikia sauti kubwa nyuma yangu ya ngurumo. (Utukufu wa bwana na utukuzwe katika mahali pa makao yake!)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo roho ikaniinua, nami nikasikia nyuma yangu sauti kama mshindo wa radi kuu, ikisema, Na uhimidiwe utukufu wa BWANA tokea mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha roho ya Mungu ikaninyanyua, nami nikasikia nyuma yangu sauti kama ya tetemeko kubwa. “Na usifiwe utukufu wa Mwenyezi-Mungu mbinguni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upepo ukanichukua, nikasikia nyuma yangu sauti ya uvumi mkubwa wa kwamba: Utukufu wa Bwana na utukuzwe hapo, alipo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo roho ikaniinua, nami nikasikia nyuma yangu sauti kama mshindo wa radi kuu, ikisema, Na uhimidiwe utukufu wa BWANA tokea mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Roho akaninyanyua juu, nami nikasikia nyuma yangu sauti kama ya tetemeko kubwa ikisema: Utukufu wa Yawe usifiwe mbinguni.