Ezekiel 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia nilisikia sauti ya mabawa ya wale viumbe hai yalipokuwa yanagusana, pamoja na sauti ya mgongano wa yale magurudumu kandokando yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilikuwa ni sauti ya mabawa ya wale viumbe hai yakigusana moja kwa lingine, na sauti ya magurudumu kando yao, sauti kubwa ya ngurumo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasikia mshindo wa mabawa ya vile viumbe hai, walipogusana, na mshindo wa yale magurudumu kando yao, mshindo wa radi kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia nilisikia sauti ya mabawa ya wale viumbe hai yalipokuwa yanagusana, pamoja na sauti ya mgongano wa yale magurudumu kandokando yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilikuwa ni sauti ya mabawa ya wale viumbe hai yakisuguana moja kwa jingine, sauti kama ya ngurumo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilikuwa ni sauti ya mabawa ya wale viumbe hai yakisuguana moja kwa jingine, sauti kama ya ngurumo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikasikia mshindo wa mabawa ya vile viumbe hai, walipogusana, na mshindo wa yale magurudumu kando yao, mshindo wa radi kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia nilisikia sauti ya mabawa ya wale viumbe hai yalipokuwa yanagusana, pamoja na sauti ya mgongano wa yale magurudumu kandokando yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kukasikilika nako kuvuma kwa mabawa ya wale nyama, wakigusana na kuvuma, na kuvuma kwa yale magurudumu yaliyokuwako kwao, zikawa sauti za uvumi mkubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasikia mshindo wa mabawa ya vile viumbe hai, walipogusana, na mshindo wa yale magurudumu kando yao, mshindo wa radi kuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile nilisikia sauti ya mabawa ya vile viumbe yalipokuwa yanagusana, pamoja na sauti ya shindo la yale magurudumu kandokando yao.