Ezekiel 3:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya siku saba, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwishoni mwa hizo siku saba neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa, mwisho wa siku saba, neno la Bwana likanijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya siku saba, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwishoni mwa hizo siku saba neno la BWANA likanijia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwishoni mwa hizo siku saba neno la bwana likanijia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa, mwisho wa siku saba, neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya siku saba, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizo siku saba zilipopita, neno la Bwana likanijia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa, mwisho wa siku saba, neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya siku saba, neno la Yawe lilinifikia kusema hivi: