Ezekiel 3:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo nilifumbua kinywa changu, naye akanilisha hicho kitabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo, nikafungua kinywa changu, naye akanipa kile kitabu nikile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nikafunua kinywa changu, naye akanilisha lile gombo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo nilifumbua kinywa changu, naye akanilisha hicho kitabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikafungua kinywa changu, naye akanilisha ule ukurasa wa kitabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikafungua kinywa changu, naye akanilisha ule ukurasa wa kitabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nikafunua kinywa changu, naye akanilisha lile gombo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo nilifumbua kinywa changu, naye akanilisha hicho kitabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikakifunua kinywa changu, akanilisha hicho kitabu cha kuzingwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nikafunua kinywa changu, naye akanilisha lile gombo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo nikafungua kinywa changu, naye akanikulisha kile kitabu.