Ezekiel 3:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe mtu, utafungwa kwa kamba ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawe, ee mwanadamu, watakufunga kwa kamba; utafungwa ili usiweze kuwaendea watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wewe, mwanadamu, tazama, watakutia pingu, nao watakufunga kwazo, wala hutakwenda nje kati yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe mtu, utafungwa kwa kamba ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawe, Ee mwanadamu, watakufunga kwa kamba, watakufunga ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawe, ee mwanadamu, watakufunga kwa kamba, watakufunga ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wewe, mwanadamu, tazama, watakutia pingu, nao watakufunga kwazo, wala hutakwenda nje kati yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe mtu, utafungwa kwa kamba ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe mwana wa mtu, utaona, wakikutia kamba, wakufunge nazo, usiweze kutoka katikati yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wewe, mwanadamu, tazama, watakutia pingu, nao watakufunga kwazo, wala hutakwenda nje kati yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe mwanadamu, utafungwa kwa kamba kusudi usiweze kutoka na kuwaendea watu.