Ezekiel 3:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaufanya ulimi wako uwe mzito nawe utakuwa bubu ili usiweze kuwakemea kwa sababu ni waasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaufanya ulimi wako ushikamane kwenye kaakaa la kinywa chako, ili uwe kimya usiweze kuwakemea, kwa kuwa wao ni nyumba ya uasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitaufanya ulimi wako ugandamane na kaakaa lako, hata utakuwa bubu, wala hutakuwa mwonyaji kwao; kwa kuwa wao ni nyumba yenye kuasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaufanya ulimi wako uwe mzito nawe utakuwa bubu ili usiweze kuwakemea kwa sababu ni waasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaufanya ulimi wako ushikamane kwenye kaa la kinywa chako, ili uwe kimya usiweze kuwakemea, wajapokuwa ni nyumba ya kuasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaufanya ulimi wako ushikamane kwenye kaa la kinywa chako, ili uwe kimya usiweze kuwakemea, wajapokuwa ni nyumba ya kuasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitaufanya ulimi wako ugandamane na kaakaa lako, hata utakuwa bubu, wala hutakuwa mwonyaji kwao; kwa kuwa wao ni nyumba yenye kuasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaufanya ulimi wako uwe mzito nawe utakuwa bubu ili usiweze kuwakemea kwa sababu ni waasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ulimi wako nitaugandamanisha na ufizi wako, uwe bubu, usiweze tena kuwaonya, kwani ndio mlango mkatavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitaufanya ulimi wako ugandamane na kaakaa lako, hata utakuwa bubu, wala hutakuwa mwonyaji kwao; kwa kuwa wao ni nyumba yenye kuasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaufanya ulimi wako ukuwe muzito nawe utakuwa bubu kusudi usiweze kuwakaripia kwa sababu ni waasi.