Ezekiel 3:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akaniambia, “Wewe mtu, waendee Waisraeli, ukawaambie maneno yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akaniambia, “Mwanadamu, sasa nenda katika nyumba ya Israeli ukawanenee maneno yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaniambia, Mwanadamu, haya! Waendee wana wa Israeli ukawaambie maneno yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akaniambia, “Wewe mtu, waendee Waisraeli, ukawaambie maneno yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akaniambia, “Mwanadamu, sasa nenda katika nyumba ya Israeli ukaseme nao maneno yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akaniambia, “Mwanadamu, sasa nenda katika nyumba ya Israeli ukaseme nao maneno yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaniambia, Mwanadamu, haya! Waendee wana wa Israeli ukawaambie maneno yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akaniambia, “Wewe mtu, waendee Waisraeli, ukawaambie maneno yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniambia: Mwana wa mtu, nenda, ufike kwao wa mlango wa Isiraeli, uwaambie niliyokuambia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaniambia, Mwanadamu, haya! Waendee wana wa Israeli ukawaambie maneno yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akaniambia hivi: Wewe mwanadamu, uwaendee Waisraeli, uwaambie maneno yangu.