Ezekiel 3:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Waisraeli hawatakusikiliza, kwani hawana nia ya kunisikiliza mimi. Watu wote wa Israeli ni wenye kichwa kigumu na moyo mkaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nyumba ya Israeli haitakusikiliza, kwa kuwa hawako radhi kunisikiliza mimi, kwa kuwa nyumba yote ya Israeli ni wenye paji gumu na mioyo ya ukaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali nyumba ya Israeli hawatakusikiliza wewe; kwa kuwa hawanisikilizi mimi; maana nyumba yote ya Israeli wana vipaji vigumu, na mioyo yenye ukaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Waisraeli hawatakusikiliza, kwani hawana nia ya kunisikiliza mimi. Watu wote wa Israeli ni wenye kichwa kigumu na moyo mkaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nyumba ya Israeli haitakusikiliza kwa kuwa hawako radhi kunisikiliza mimi, kwa kuwa nyumba yote ya Israeli ni wenye vipaji vya nyuso vigumu na mioyo ya ukaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nyumba ya Israeli haitakusikiliza kwa kuwa hawako radhi kunisikiliza mimi, kwa kuwa nyumba yote ya Israeli ni wenye vipaji vya nyuso vigumu na mioyo ya ukaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali nyumba ya Israeli hawatakusikiliza wewe; kwa kuwa hawanisikilizi mimi; maana nyumba yote ya Israeli wana vipaji vigumu, na mioyo yenye ukaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Waisraeli hawatakusikiliza, kwani hawana nia ya kunisikiliza mimi. Watu wote wa Israeli ni wenye kichwa kigumu na moyo mkaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawa wa mlango wa Isiraeli watakataa kukusikia, kwani hawataki kunisika mimi, kwani mlango wote wa Isiraeli ndio wenye mapaji mashupavu na wenye mioyo migumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali nyumba ya Israeli hawatakusikiliza wewe; kwa kuwa hawanisikilizi mimi; maana nyumba yote ya Israeli wana vipaji vigumu, na mioyo yenye ukaidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Waisraeli watakataa kukusikiliza, maana hawataki kunisikiliza mimi. Watu wote wa Israeli ni wenye kichwa nguvu na moyo mugumu.