Ezekiel 3:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekufanya uwe mgumu dhidi yao, na kichwa chako kitakuwa kigumu dhidi ya vichwa vyao vigumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, nimefanya uso wako mgumu dhidi ya nyuso zao, na paji la uso wako gumu dhidi ya paji za nyuso zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, nimeufanya uso wako kuwa mgumu juu ya nyuso zao, na kipaji cha uso chako kuwa kigumu juu ya vipaji vya nyuso vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekufanya uwe mgumu dhidi yao, na kichwa chako kitakuwa kigumu dhidi ya vichwa vyao vigumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama nimefanya uso wako mgumu dhidi ya nyuso zao na kipaji cha uso wako kigumu dhidi ya vipaji vya nyuso zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama nimefanya uso wako mgumu dhidi ya nyuso zao na kipaji cha uso wako kigumu dhidi ya vipaji vya nyuso zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, nimeufanya uso wako kuwa mgumu juu ya nyuso zao, na kipaji cha uso wako kuwa kigumu juu ya vipaji vya nyuso zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekufanya uwe mgumu dhidi yao, na kichwa chako kitakuwa kigumu dhidi ya vichwa vyao vigumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama: Nao uso wako nitaushupaza kuwa sawasawa kama zao, nalo paji lako nitalishupaza kuwa sawasawa kama yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, nimeufanya uso wako kuwa mgumu juu ya nyuso zao, na kipaji cha uso chako kuwa kigumu juu ya vipaji vya nyuso vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekufanya kuwa mugumu, na kichwa chako kuwa nguvu kwa kupingana nao.