Ezekiel 30:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji wa Pathrosi nitaufanya kuwa mtupu, mji wa Soani nitauwasha moto, mji wa Thebesi nitauadhibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa na kuitia moto Soani, nami nitaipiga Thebesi kwa adhabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa, nami nitatia moto katika Soani, nami nitatekeleza hukumu katika No.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji wa Pathrosi nitaufanya kuwa mtupu, mji wa Soani nitauwasha moto, mji wa Thebesi nitauadhibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa na kuitia moto Soani, nami nitaipiga kwa adhabu Thebesi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa na kuitia moto Soani, nami nitaipiga kwa adhabu Thebesi
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa, nami nitatia moto katika Soani, nami nitatekeleza hukumu katika Tebesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji wa Pathrosi nitaufanya kuwa mtupu, mji wa Soani nitauwasha moto, mji wa Thebesi nitauadhibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Patirosi nitaigeuza kuwa mapori tu, mle Soani nitawasha moto, namo No nitawahukumu waliomo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa, nami nitatia moto katika Soani, nami nitatekeleza hukumu katika No.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji wa Patro nitaufanya kuwa tupu, muji wa Soani nitauteketeza kwa moto, nitauazibu muji wa No.