Ezekiel 30:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa na kuwasambaza katika nchi nyingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawatawanya Wamisri miongoni mwa mataifa na kuwatapanya katika nchi zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa, na kuwatapanya kati ya nchi mbalimbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa na kuwasambaza katika nchi nyingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawatawanya Wamisri miongoni mwa mataifa na kuwafukuza huko na huko katika nchi zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawatawanya Wamisri miongoni mwa mataifa na kuwafukuza huku na huko katika nchi zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa, na kuwatapanya kati ya nchi mbalimbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa na kuwasambaza katika nchi nyingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Wamisri nitawatawanya kwenye mataifa mengine na kuwatupatupa katika hizo nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa, na kuwatapanya kati ya nchi mbalimbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawasambaza Wamisri kati ya mataifa na kuwaeneza katika inchi zingine.