Ezekiel 30:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana, siku hiyo imekaribia; siku ile ya Mwenyezi-Mungu iko karibu. Hiyo itakuwa siku ya mawingu, siku ya maangamizi kwa mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa siku ile imekaribia, siku ya Mwenyezi Mungu imekaribia, siku ya mawingu, siku ya maangamizi kwa mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana siku ile i karibu, siku ile ya Bwana i karibu, siku ya mawingu; itakuwa wakati wa mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana, siku hiyo imekaribia; siku ile ya Mwenyezi-Mungu iko karibu. Hiyo itakuwa siku ya mawingu, siku ya maangamizi kwa mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa siku ile imekaribia, siku ya BWANA imekaribia, siku ya mawingu, siku ya maangamizi kwa mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa siku ile imekaribia, siku ya bwana imekaribia, siku ya mawingu, siku ya maangamizi kwa mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana siku ile i karibu, siku ile ya BWANA i karibu, siku ya mawingu; itakuwa wakati wa maangamizi kwa mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana, siku hiyo imekaribia; siku ile ya Mwenyezi-Mungu iko karibu. Hiyo itakuwa siku ya mawingu, siku ya maangamizi kwa mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani siku iko karibu, kweli siku ya Bwana iko karibu! ni siku yenye mawingu, itakuwa wakati wa wamizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana siku ile i karibu, siku ile ya BWANA i karibu, siku ya mawingu; itakuwa wakati wa mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana, siku hiyo imekaribia; siku ile ya Yawe iko karibu. Hiyo itakuwa siku ya mawingu ya kutisha, siku ya maangamizi kwa mataifa.