Ezekiel 30:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Watu wote waliofungamana na Wamisri, yaani watu wa Kushi, Puti, Ludi, Arabia yote na Libia wataangamia pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kushi na Putu, Ludi na Arabia yote, Kubu na watu wa nchi ya agano watauawa kwa upanga pamoja na Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kushi, na Putu, na Ludi, na watu wote waliochanganyika, na Kubu, na wana wa nchi ya agano, wataanguka kwa upanga pamoja nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Watu wote waliofungamana na Wamisri, yaani watu wa Kushi, Puti, Ludi, Arabia yote na Libia wataangamia pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kushi na Putu, Ludi na Arabia yote, Libya na watu wa nchi ya Agano watauawa kwa upanga pamoja na Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kushi na Putu, Ludi na Arabia yote, Libya na watu wa nchi ya Agano watauawa kwa upanga pamoja na Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kushi, na Putu, na Ludi, na watu wote waliochanganyika, na Kubu, na wana wa nchi ya agano, wataanguka kwa upanga pamoja nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Watu wote waliofungamana na Wamisri, yaani watu wa Kushi, Puti, Ludi, Arabia yote na Libia wataangamia pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanubi na Waputi na Waludi nao wote waliochanganyika nao na Wakubu na wenyeji wa nchi, waliofanya maagano nao, wote pia watauawa kwa panga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kushi, na Putu, na Ludi, na watu wote waliochanganyika, na Kubu, na wana wa nchi ya agano, wataanguka kwa upanga pamoja nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote waliofungamana na Wamisri, ni kusema watu wa Etiopia, Puti, Ludi, Uarabu yote na Libya wataangamia pamoja nao.