Ezekiel 30:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Misri itakuwa jangwa kama nchi zilizo jangwa na miji yake itakuwa magofu kama miji iliyoteketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo nchi zitakua ukiwa miongoni mwa nchi zilizo ukiwa, nayo miji yao itakuwa magofu miongoni mwa miji iliyo magofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watakuwa ukiwa, kati ya nchi zilizo ukiwa, na miji yake itakuwamo kati ya miji iliyoharibika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Misri itakuwa jangwa kama nchi zilizo jangwa na miji yake itakuwa magofu kama miji iliyoteketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hizo nchi zitakua ukiwa miongoni mwa nchi zilizo ukiwa, nayo miji yao itakuwa magofu miongoni mwa miji iliyo magofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hizo nchi zitakua ukiwa miongoni mwa nchi zilizo ukiwa, nayo miji yao itakuwa magofu miongoni mwa miji iliyo magofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watakuwa ukiwa, kati ya nchi zilizo ukiwa, na miji yake itakuwamo kati ya miji iliyoharibika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Misri itakuwa jangwa kama nchi zilizo jangwa na miji yake itakuwa magofu kama miji iliyoteketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi zao zitakuwa peke yao katikati ya nchi nyingine zilizo peke yao nazo, nayo miji yao itakuwa vivyo hivyo katikati ya miji iliyo mabomoko tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watakuwa ukiwa, kati ya nchi zilizo ukiwa, na miji yake itakuwamo kati ya miji iliyoharibika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Misri itakuwa jangwa kama inchi zinazokuwa jangwa na miji yake itakuwa mabomoko kama vile miji iliyoteketezwa.