Ezekiel 30:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakapoiteketeza Misri kwa moto na kuwavunjilia mbali wasaidizi wake wote ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo watajua kuwa mimi ndimi Mwenyezi Mungu, nitakapoiwasha Misri moto na wasaidizi wake wote watapondwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, nitakapoweka moto katika Misri, na hao wote wamsaidiao watakapoangamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakapoiteketeza Misri kwa moto na kuwavunjilia mbali wasaidizi wake wote ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo watakapojua kwamba mimi ndimi BWANA, nitakapoiwasha Misri moto na wote wamsaidiao watapondwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo watakapojua kwamba mimi ndimi bwana, nitakapoiwasha Misri moto na wote wamsaidiao watapondwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoweka moto katika Misri, na hao wote wamsaidiao watakapoangamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakapoiteketeza Misri kwa moto na kuwavunjilia mbali wasaidizi wake wote ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watakapojua, ya kuwa mimi ni Bwana; nitakapowasha moto katika Misri, nao wasaidiaji wake wote watavunjwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoweka moto katika Misri, na hao wote wamsaidiao watakapoangamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakapoiteketeza Misri kwa moto na kuvunjavunja wasaidizi wake wote, halafu watatambua kwamba mimi ni Yawe.