Ezekiel 31:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nitautia mikononi mwa mkuu kati ya mataifa. Yeye, atauadhibu. Nimeutupilia mbali kadiri ya uovu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
niliutia mikononi mwa mtawala wa mataifa, ili yeye autende sawasawa na uovu wake. Nikaukatilia mbali,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mimi nitamtia katika mikono yake aliye mkuu kati ya mataifa; naye atamtenda mambo; nimemfukuza kwa sababu ya uovu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nitautia mikononi mwa mkuu kati ya mataifa. Yeye, atauadhibu. Nimeutupilia mbali kadiri ya uovu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
niliutia mikononi mwa mtawala wa mataifa, ili yeye aushughulikie sawasawa na uovu wake. Nikaukatilia mbali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
niliutia mikononi mwa mtawala wa mataifa, ili yeye aushughulikie sawasawa na uovu wake. Nikaukatilia mbali,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mimi nitamtia katika mikono yake aliye mkuu kati ya mataifa; naye atamtenda mambo; nimemfukuza kwa sababu ya uovu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nitautia mikononi mwa mkuu kati ya mataifa. Yeye, atauadhibu. Nimeutupilia mbali kadiri ya uovu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nitamtia mikononi mwake aliye peke yake mkuu wa mataifa, aufanyizie ayatakayo; kwa uovu wake nimekwisha kuutupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mimi nitamtia katika mikono yake aliye mkuu kati ya mataifa; naye atamtenda mambo; nimemfukuza kwa sababu ya uovu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nitautia katika mikono ya mukubwa kati ya mataifa. Yeye, atauazibu. Nimeutupilia mbali kadiri ya uovu wake.